Ripoti za Kifedha
Tunahakikisha kuwa ripoti zetu zote zinapatikana kwa umma hivyo unaweza kukagua indicators zetu muhimu za utendakazi na ukaguzi wa fedha.
Indicators za utendaji za Exness Group
Kiwango cha biashara
Jumla ya kiasi cha CFD kilichouzwa kwa mabilioni ya USD
2023
Idadi ya wateja wanaofanya biashara
Jumla ya wateja wanaofanya biashara na kutekeleza operesheni za salio
2023
Utoaji wa pesa uliofanywa na wateja
Jumla ya utoaji katika mamilioni ya USD (bila kujumuisha uhamishaji wa ndani)
2023
Malipo ya mshirika
Jumla ya ada wanazolipwa washirika katika mamilioni ya USD
2023
Indicators za utendakazi kwenye ukurasa huu wa tovuti ni matokeo ya muhtasari wa Exness Group, matokeo haya hayatumiki kwa Tadenex Limited pekee.
Je, uko tayari kuanza?
Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara