Wasiliana Nasi

Kuna njia nyingi za kuwasiliana nasi, popote ulipo ulimwenguni. Tuna timu ya kimataifa ya wataalamu wa usaidizi waliojitolea na walio tayari kukusaidia.

Je, una swali?

Kituo cha Usaidizi

Pata taarifa za kina kuhusu vituo vya biashara vya Exness, uwekaji na utoaji pesa, na zingine zaidi katika Kituo cha Usaidizi cha Exness.

Live chat

Je, hupati majibu unayotafuta? Uliza timu yetu ya usaidizi kwenye gumzo la moja kwa moja. Wasilisha nambari ya akaunti yako na PIN ya usaidizi ikiwa wewe ni mteja aliyepo.

Barua pepe

Wasiliana na support@exness.ke na tutakujibu ndani ya saa 24. Wasilisha nambari ya akaunti yako na PIN ya usaidizi ikiwa wewe ni mteja aliyepo.

Simu

Tupigie simu kwa nambari +254-203-892208

Saa za kazi za timu ya usaidizi

Lugha
Upatikanaji
Saa za eneo uliko

Kiingereza, Kiswahili