Kibadilishi sarafu cha Exness

Kokotoa viwango vya kubadilisha fedha za kigeni na ubadilishe jozi zote kuu na za kigeni ukitumia kibadilishi sarafu chetu ambacho ni rahisi kutumia.

Jinsi ya kutumia kibadilishi sarafu kubadilisha fedha

Kibadilishi sarafu chetu hukusaidia kubadilisha fedha au sarafu moja hadi nyingine kwa usahihi na haraka na kwa viwango vya wakati halisi. Ni zana muhimu unapoweka na kutoa pesa kwenye akaunti yako ya kutrade.

  • Kwenye orodha ibukizi sita zinazopatikana, chagua sarafu yako ya msingi.
  • Chagua hadi sarafu zingine tano za kubadilisha hadi.
  • Weka kiasi ambacho ungependa kubadilisha kwenye sarafu ya msingi.
  • Kibadilishi sarafu kitakokotoa kiotomatiki na kuonyesha viwango vya ubadilishaji kwa sarafu ulizochagua.

Je, kwa nini utumie Exness

Masharti bora kuliko ya soko, vipengele vya kipekee na usalama wa kiwango cha juu, pamoja na kujitolea kwetu kwa uwazi na huduma bora kwa mteja, ndizo sababu zinazofanya traders waendelee kuchagua Exness.

Kutoa pesa papo hapo

Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹

Execution ya kasi zaidi

Kaa mbele ya trends kwa execution ya kasi ya juu ya maombi ya biashara. Pata orders zako zitekelezwe katika milisekunde kwenye mifumo yote inayopatikana katika Exness.

Ulinzi Dhidi ya Stop Out

Furahia kipengele chetu cha kipekee cha Ulinzi dhidi ya Stop Out, chelewesha na wakati mwingine uepuke stopouts kabisa unapofanya trade katika Exness.

Maswali yanayoulizwa sana

Viwango vya ubadilishaji hubainishwa na kiwango kinachobadilika au kisichobadilika. Viwango vinavyobadilika hukokotolewa kulingana na usambazaji na mahitaji kwenye masoko ya kimataifa. Mahitaji ya juu ya sarafu yataongeza thamani yake huku mahitaji ya chini yatashusha bei. Hii ndiyo aina ya kiwango kinachotolewa na Exness. Kwa upande mwingine, kiwango kisichobadilika ni wakati sarafu inapowekwa dhidi ya sarafu nyingine kuu, kama vile yen ya Japani au dola ya Marekani, na serikali kupitia benki yake kuu.

Hakuna siku mahususi ambayo ni nzuri wa kubadilisha sarafu kwa kuwa bei ya forex hutegemea mambo mengi, kama vile matukio ya kiuchumi na kisiasa, matoleo ya habari, imani ya wawekezaji na mengine mengi.

Kibadilishi sarafu ambacho kinasasishwa kwa wakati halisi, kama vile Kibadilishi Sarafu cha Exness, kinafaa zaidi kwa kujua viwango vya ubadilishaji vilivyosasishwa.

Kibadilishi Sarafu cha Exness husasishwa katika wakati halisi, kumaanisha kuwa viwango vya ubadilishaji husasishwa kila wakati na unaweza kulinganisha hadi sarafu 6 tofauti kwa wakati mmoja.

Boresha jinsi unafanya biashara

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.