Programu ya Exness Trade

Imeundwa kwa mfanyabiashara wa mara kwa mara.

Pakua Programu ya Exness Trade

Mahiri, faafu, rahisi kutumia

Tambua fursa, fanya biashara na udhibiti akaunti zako za biashara ukitumia programu ya Exness Trade. Nufaika na uwekaji na utoaji fedha kwa urahisi, chaguo mbalimbali za kufanya malipo na usaidizi wa ndani ya programu 24/7.

Utendaji kamili wa biashara

Fungua biashara, weka maagizo yanayosubiri na ufunge nafasi kwa kubofya kitufe. Weka mikengeuko, agizo la kupata faida na agizo la kuzuia hasara, yote katika skrini moja. Tazama maagizo yako kwa zana au kwa akaunti na utumie kikokotoo cha ndani ya programu kwa hesabu za haraka za fedha halisi, tofauti kati ya bei ya ununuzi na uuzaji na ubadilishanaji fedha.

Aina mbalimbali za instruments

Fanya biashara ya zaidi ya instruments 200 kwa urahisi, ikijumuisha sarafu, fahirisi, hisa na nishati. Chagua vipendwa vyako kwa ufikiaji wa haraka au usogeze alama za juu zinazosonga na zinazouzwa zaidi kwa siku.

Uchanganuzi unaofikika

Changanua chati na ishara za hali ya juu ya biashara na indicators unazopendelea. Tumia kichupo cha Overview ili kupata takwimu na mitindo ya bei kwa kina.

Taarifa za soko

Weka arifa za zabuni/bei ya kuuliza na upate arifa za programu zinazokufaa ili upate taarifa za hivi punde kuhusu masoko. Tazama habari za hivi punde za soko, matukio yajayo ya kiuchumi na ishara za biashara.

Usimamizi wa akaunti

Jisajili, unda na udhibiti akaunti zako ndani ya programu. Weka, hamisha na utoe fedha kwa mibofyo michache tu.

Maelezo ya jukwaa

Exness Trade App
Inapatikana kwenye
iOS, Android
Aina za Akaunti
Akaunti zote za MT5
Aina za chati
Mstari, vinara
Orders zinazosubiri
Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, take profit, stop loss
Indicators
Ishara za Biashara na Trading Central, Wastani wa Kusonga, Bendi za Bollinger, Parabolic SAR
Vipindi
M1, M5, M15, M30, H1, H4, D1
Masharti ya chini zaidi ya mfumo
iOS 14.5, Android 5.0