MetaTrader WebTerminal

Fanya biashara kwenye majukwaa yanayoongoza duniani moja kwa moja kutoka kwa kivinjari chako - hakuna vipakuliwa.

Huhitaji kupakua, wala kusakinisha

MetaTrader WebTerminal hukuruhusu kufanya biashara ya masoko ya fedha bila kusakinisha programu zozote za ziada. Unaweza kufanya biashara kupitia kivinjari kwenye mfumo wowote wa uendeshaji wenye utendakazi mwingi sawa na toleo la kompyuta ya mezani.

Kila alama katika sehemu moja

MetaTrader WebTerminal hukuwezesha kufikia kila mojawapo ya instrument inayotolewa na Exness. Kutoka kwenye Taarifa za Soko za MetaTrader, unaweza kufuatilia bei kwa wakati halisi, spreads na zaidi kwa kila CFD inayopatikana. Badili kati ya chati kwa mbofyo mmoja na ufungue mpya papo hapo wakati wowote unapotaka.

Uchanganuzi wa kina

MetaTrader ni jukwaa linalotumiwa na wafanyabiashara wakubwa kwa sababu ina indicators zaidi ya 40 zilizojengewa ndani, vinavyoweza kugeuzwa kukufaa na kalenda ya kiuchumi. Takriban kipengele chochote cha chati kinaweza kurekebishwa upendavyo, na michanganyiko ya indicators ina uwezekano wa kutokuwa na mwisho.

Kasi na usalama zaidi

WebTerminal ni programu ya wavuti ya HTML5 iliyotengenezwa na muundaji wa MT4, na kuifanya kuwa jukwaa la wavuti linalotegemewa, la haraka na linalofaa mtumiaji. Taarifa na data zote husimbwa kwa njia fiche kwa usalama wakati zinapotumwa.

Maelezo ya jukwaa

MetaTrader 4 WebTerminalMetaTrader 5 WebTerminal
Inapatikana kwenye
Windows, Linux, macOS, iOS, AndroidWindows, Linux, macOS, iOS, Android
Aina za Akaunti
Akaunti zote za MT4Akaunti zote za MT5
Aina za chati
Candle, bar, mstariCandle, bar, mstari
Orders zinazosubiri
Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, take profit, stop lossBuy limit, buy stop, sell limit, sell stop, buy stop limit, sell stop limit, take profit, stop loss