Kwa nini ufanye trade ya bidhaa mtandaoni katika Exness
Fanya trade ya metali za thamani na nishati na ukitumia masharti ya biashara ambayo yanaupa mkakati wako faida.
Bidhaa
Hedge portfolio yako kwa metali maarufu za thamani kama vile dhahabu na fedha au upanue kwa nishati zinazofanyiwa trade zaidi kama vile mafuta ghafi na gesi asilia.
Ufikiaji wa soko kwa urahisi
Trade XAGUSD, XAUUSD, USOIL na UKOIL siku 5 kwa wiki na uongeze matokeo yako ya biashara.
Usalama wa fedha
Fanya biashara katika masoko ya bidhaa ukiwa na Ulinzi dhidi ya Salio Hasi. Nufaika kutokana na ulinzi wa data ya kifedha wa PCI DSS, na akaunti za mteja zilizotengwa katika benki za kiwango cha juu.
Ulinzi dhidi ya Stop Out
Imarisha positions zako dhidi ya volatility ya soko isiyoweza kuepukika na kipengele kinachosaidia kuchelewesha au wakati mwingine kuepuka kabisa stop outs.
Spreads za chini na thabiti
Weka gharama zako za biashara kuwa chini, hata wakati bei zinabadilika. Furahia spreads za chini na thabiti, hata wakati wa habari za soko na matukio ya kiuchumi yenye athari kubwa.
Execution ya haraka
Usikose pip kamwe. Fanya orders zako zitekelezwe kwa chini ya milisekunde 25 kwenye majukwaa ya MT na Terminali za Exness zinazomilikiwa.
Spreads na swaps za masoko ya bidhaa
Akaunti
Standard
Spreads na swaps za masoko ya bidhaa
Standard
Market execution
Ishara
Spread wastani
pips
Ada
kwa kila lot/upande
Margin
1:400
Long swap
pips
Short swap
pips
Stop level*
pips
Masharti ya soko la bidhaa
Soko la bidhaa ni soko la kimataifa la kutrade aina mbalimbali za bidhaa kama vile metali za thamani na nishati. Kuzifanyia trade hukuruhusu kubashiri kuhusu bei ya instrument zinazobadilika-badilika kama vile dhahabu na mafuta bila kununua mali ya msingi, iwe bei ya bidhaa inapanda au kushuka.
Saa za kufanya biashara
Instrument
Fungua
Funga
XAU, XAG
Jumapili
22:05
Ijumaa
20:59
Mapumziko ya kila siku 20:59-22:01
XPDUSD, XPTUSD
Jumapili
22:10
Ijumaa
20:59
Mapumziko ya kila siku 20:59-22:05
XALUSD, XCUUSD, XNIUSD, XPBUSD, XZNUSD
Jumatatu
0:00
Ijumaa
17:55
Mapumziko ya kila siku 17:55-23:59
USOIL, XNGUSD
Jumapili
22:10
Ijumaa
20:45
Mapumziko ya kila siku 20:45-22:10
UKOIL
Jumatatu
00:10
Ijumaa
20:55
Mapumziko ya kila siku 20:55-00:10
Muda wote uko katika wakati wa seva (GMT+0).
Spreads
Spreads huelea kila wakati. Kwa sababu hii, spreads katika jedwali lililo hapo juu ni wastani kulingana na siku ya biashara iliyotangulia. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa la biashara.
Spreads zetu za chini kwenye akaunti ya Zero na hubaki kwa pip 0.0 kwa 95% ya siku ya biashara. Instruments hizi zimewekwa alama ya kinyota kwenye jedwali.
Swaps
Swap ni aina ya ada inayotozwa au kulipwa kwa trading positions za usiku kucha. Swap inaweza kuwa chanya au hasi, kulingana na viwango vya riba vya instrument ya msingi na position (ununuzi au uuzaji). Huwa inatozwa au kulipwa kwa akaunti yako ya kutrade saa 21:00 (GMT+0) kila siku, bila kujumuisha wikendi, hadi position itakapofungwa.
Kila Jumatano, kiwango cha swap cha mara tatu hutozwa kwa positions za dhahabu, fedha, platinamu, na jozi zingine za metali ili kufidia kufungwa kwa soko wakati wa wikendi ambapo swaps hazitozwi. Kwa positions za mafuta na gesi asilia, ada hizi za mara tatu zitatozwa kila Ijumaa.
Ikiwa una hali ya Extended Swap-free, hutatozwa swaps zozote kwa instruments zilizo na alama kwenye jedwali lililo hapo juu. Ili kuangalia hali yako ya swap, ingia kwenye Eneo lako la Binafsi, nenda kwa Mipangilio, na kisha kwenye kichupo cha Masharti ya Biashara.
Ikiwa wewe ni mkazi wa nchi ya Kiislamu, akaunti zote zitakuwa swap-free.
Stop level
Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.
Masharti ya margin yasiyobadilika
Masharti ya margin kwa bidhaa zifuatazo daima hubaki bila kubadilika, bila kujali leverage ya juu zaidi iliyowekwa kwenye akaunti yako:
Kwa XAL (alumini), XCU (shaba), XNI (nikeli), XPB (risasi), XPT (platinamu), XPD (paladiamu) na XZN (zinki) leverage huwekwa kuwa 1:100.
Kwa XNGUSD (gesi asilia), leverage huwekwa kwa 1:20
Masharti ya margin kwa USOIL na UKOIL daima hayabadiliki na leverage huwa 1:200, isipokuwa kwa vipindi maalum vya masharti ya juu ya margin.
Katika vipindi vifuatavyo vya masharti ya juu ya margin, masharti ya margin ya USOIL na UKOIL huwekwa kwa 5% (leverage ya 1:20).
USOIL: kuanzia 16:45 (GMT+0) siku ya Ijumaa hadi 22:59 (GMT+0) siku ya Jumapili
UKOIL: kuanzia 08:00 (GMT+0) siku ya Ijumaa hadi 00:30 (GMT+0) siku ya Jumatatu
Masharti ya margin yanayobadilika
Masharti ya margin hufungamanishwa na kiwango cha leverage unachotumia. Kubadilisha kiwango chako cha leverage kutasababisha masharti ya margin kwenye jozi za XAU (dhahabu) na XAG (fedha) kubadilika.
Jinsi spreads zinavyobadilika kulingana na hali, kiwango cha leverage kinachopatikana kwako kinaweza pia kutofautiana. Hii inaweza kutokea kwa sababu kadhaa:
Habari za kiuchumi
Karibu na wakati wa kutolewa kwa habari muhimu za kiuchumi zenye athari ya juu, positions mpya kwenye jozi za XAU na XAG huzuiliwa hadi kiwango cha leverage cha 1:200. Hii hutumika dakika 15 kabla ya kutolewa kwa taarifa ya habari hadi dakika 5 baadaye.
Unaweza kujua wakati habari kuu za kiuchumi zinastahili kutolewa kwenye Kalenda ya Kiuchumi.
Habari za kiuchumi
Karibu na wakati wa kutolewa kwa habari muhimu za kiuchumi zenye athari ya juu, positions mpya kwenye jozi za XAU na XAG huzuiliwa hadi kiwango cha leverage cha 1:200. Hii hutumika dakika 15 kabla ya kutolewa kwa taarifa ya habari hadi dakika 5 baadaye.
Unaweza kujua wakati habari kuu za kiuchumi zinastahili kutolewa kwenye Kalenda ya Kiuchumi.
Wikendi na likizo
Masharti yale yale ya juu ya margin pia hutumika saa tatu kabla ya soko kufungwa na saa moja baada ya kufunguliwa.
Wakati kuna mabadiliko katika masharti ya margin kutokana na likizo, tutakujulisha kupitia barua pepe.
Pata maelezo zaidi kuhusu mabadiliko ya masharti ya margin katika Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.
Wikendi na likizo
Masharti yale yale ya juu ya margin pia hutumika saa tatu kabla ya soko kufungwa na saa moja baada ya kufunguliwa.
Wakati kuna mabadiliko katika masharti ya margin kutokana na likizo, tutakujulisha kupitia barua pepe.
Pata maelezo zaidi kuhusu mabadiliko ya masharti ya margin katika Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.
Fungua akaunti na uanze kutrade bidhaa
Panua portfolio yako na biashara ya bidhaa na unufaike na fursa zisizo na kikomo.
Fanya trade ya baadhi ya bidhaa maarufu zaidi mtandaoni ikiwa ni pamoja na dhahabu na mafuta ghafi kwa spreads za chini na thabiti.
Weka leverage kwenye masharti ya biashara ya kipekee kama vile Ulinzi dhidi ya Stop Out ili kuupa mkakati wako faida.
Fungua akaunti ya Exness leo na ubashiri kuhusu mienendo ya bei za bidhaa kwenye majukwaa ya kiwango cha juu.
Bidhaa ni malighafi zinazozalishwa kwa wingi na kufanyiwa trade katika soko la kimataifa.
Mifano ya bidhaa ni nishati kama vile mafuta ghafi na gesi asilia, na metali za thamani kama dhahabu, fedha na platinamu.
Bei za bidhaa kwa kawaida huabainishwa na vipengele kama vile ugavi na mahitaji, uthabiti wa kisiasa, thamani ya sarafu na utendaji wa kiuchumi.
Je, ni instruments gani zinaweza kufanyiwa trade katika soko la bidhaa?
Unaweza kutrade aina mbalimbali za financial instruments kwenye soko la bidhaa, haswa metali na zenye thamani na nishati.
Traders wengi watatumia volatility ya nishati ili kufaidika kutokana na mabadiliko ya bei ya mara kwa mara, ilhali wengine watafanya trade ya dhahabu ili waweke hedge kwenye portfolio zao na rasilimali zilizo salama.
Katika Exness, unaweza kutrade bidhaa kwenye bidhaa zinazofanyiwa trade sana duniani, zikiwa pamoja na USOIL, XNGUSD, UKOIL, XAUUSD, XAGUSD na XPTUSD.
Je, ni bidhaa gani maarufu zaidi za kutrade?
Bidhaa maarufu zaidi za kutrade ni metali za thamani kama vile dhahabu, fedha na platinamu, pamoja na bidhaa za nishati kama vile mafuta ghafi, mafuta ya Uingereza na gesi asilia.
Instruments zilizoorodheshwa hapo juu ndizo maarufu zaidi, iwe unafanya trade au kuwekeza katika bidhaa kwa sababu ya mienendo ya bei ya mara kwa mara.
Metali za thamani ni maarufu sana kwa sababu ya ugavi wao mdogo na mahitaji ya mara kwa mara, huku bidhaa za nishati zina uwekezaji wa kuvutia kwa sababu ya unyeti wao kwa matukio ya kimataifa.
Je, hatari kuu za biashara ya soko la bidhaa ni zipi?
Wakati wa kufanya biashara au kuwekeza katika bidhaa, mambo makuu ya hatari ya kuzingatia ni hatari za volatility ya soko, leverage na za kiwango cha ubadilishaji wa sarafu.
Volatility ya soko kimsingi ni mabadiliko ya haraka ya bei ndani ya muda fulani, jambo ambalo lina umuhimu sana katika biashara ya bidhaa.
Unapotrade katika soko la bidhaa la dunia, unahitaji kuzingatia vipengele vya msingi kama vile uthabiti wa kisiasa, ugavi na mahitaji, na utendaji wa kiuchumi.
Ili kuhakikisha kuwa unaongeza utendaji wako, kufahamu habari za hivi punde za soko ni muhimu katika kuunda mkakati thabiti na wa hali ya juu wa biashara ya bidhaa.
Ni muhimu pia kukumbuka kuwa biashara ya bidhaa yenye leverage inaweza kuongeza hasara inayoweza kupatikana ikiwa hutaitumiwa pamoja na mkakati sahihi wa kudhibiti hatari.
Je, kwa nini kuna masharti ya juu ya margin wakati wa habari?
Habari muhimu zinapotolewa, zinaweza kusababisha volatility ya juu na gaps za bei. Kutumia leverage ya juu kwenye soko lenye volatility ya juu ni hatari kwa sababu mabadiliko ya ghafla yanaweza kusababisha hasara kubwa. Ndiyo maana tunaweka leverage kwa 1:200 wakati wa matoleo ya habari kwa positions zote mpya katika jozi za dhahabu na fedha.
Je, sheria zenu za pending orders, stop loss (SL), na take profit (TP) ni zipi?
Kanuni zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:
Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.
SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe kwa angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.
Kwa positions wazi, SL na TP sharti ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.
Je, mnakabiliana vipi na gaps za bei?
Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gao ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zote zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inatimiza mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:
Ikiwa pending order yako itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.
Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pip (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.
Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.
Je, swaps hukokotolewa aje kwa instruments ambazo hazistahiki hali ya swap-free?
Kwa instruments ambazo hazijajumuishwa katika orodha ya extended swap-free, swaps hutozwa ada kila siku isipokuwa wikendi. Kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi swaps zinavyokokotolewa, angalia makala yetu ya Kituo cha Usaidizi. Ili kukusaidia kukadiria gharama zako za swap, unaweza kutumia kikokotoo chetu rahisi cha Exness.
Uanze kutrade bidhaa
Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara.