VPS Hosting bila malipo

Pata biashara iliyohakikishwa ya haraka na salama kwa seva yetu pepe ya faragha bila malipo.

VPS ni nini?

VPS ni Virtual Private Server. Hutoa mazingira ya biashara ya haraka na salama, muunganisho usiokatizwa wa intaneti, hukulinda dhidi ya masuala mengi yanayoweza kujitokeza wakati wa biashara, kama vile kukatizwa kwa umeme na matatizo ya muunganisho.

Kasi

Seva za VPS ziko katika kituo cha data sawa na seva za biashara, matumizi ya ping kwa seva ya biashara katika 0.4 - 1.25 ms huruhusu quotes kufika mara moja na orders kutumwa kwa seva bila kuchelewa.

Uthabiti

VPS huwa imeunganishwa kila wakati na haiathiriwi na vigezo vya kawaida vya nje kama vile masuala ya muunganisho. Order execution hauathiriwi kwa njia yoyote na ubora wa muunganisho wako wa kibinafsi wa intaneti.

Biashara ya saa 24

Fanya biashara kwenye masoko ya kifedha kwa kutumia Washauri Wataalamu hata wakati kompyuta yako imezimwa.

Uhamishaji na ubebekaji

Fikia akaunti yako na ufanye biashara kwenye masoko ya kifedha kutoka popote duniani bila kusakinisha programu yoyote. VPS inapatikana kwenye mfumo wowote wa uendeshaji.

Vipimo vya maunzi ya VPS

Mfumo wa uendeshaji

Seva ya Windows 2019 bit 64

CPU

CPU yenye core 2

RAM

2 GB

Nafasi ya hifadhi ya diski

50 GB

Nenosiri

Nenosiri thabiti na la kipekee

Tuma ombi la VPS hosting

Sasa unaweza kutuma ombi la VPS bila malipo kupitia Eneo lako la Binafsi. Pata maelezo zaidi kuhusu mchakato wa kutuma ombi na vigezo vya kutimiza masharti kwenye Kituo chetu cha Usaidizi.

Je, uko tayari kuanza?

Jiunge kwenye Exness leo ili upate VPS bila malipo na bila ada ya kila mwezi